MigogoroKimataifa
Trump: 'Ustaarabu mzima wa Iran kuangamizwa usiku wa leo'
7 Aprili 2026
Matangazo
- Trump asema 'ustarabu mzima wa Iran utaangamizwa' huku IRGC ikisema itashambulia mbali zaidi ya Kanda.
- Iran yaripoti milipuko kwenye Kisiwa cha Kharg
- Iran imekataa pendekezo la kusitisha mapigano kwa siku 45, ikisema inataka suluhisho la kudumu
- Israel imewaonya raia wa Iran kuepuka kutumia treni hadi angalau saa 3 usiku kwa saa za huko
Karibu kwenye mkusanyiko wetu wa matukio ya mzozo wa kivita kati ya Marekani-Israel dhidi ya Iran, leo Jumanne, Aprili 07, 2026: