1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tshisekedi ajiondoa mgombea wa pamoja DRC

01:04

This browser does not support the video element.

13 Novemba 2018

Kiongozi wa chama kikubwa zaidi ya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Tshisekedi, amejitoa kwenye makubaliano ya kuwa na mgombea mmoja wa nafasi ya urais katika uchaguzi ujao.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW