JamiiAfrikaTuko tayari kuisaka dhahabu02:46This browser does not support the video element.JamiiAfrika28.03.202228 Machi 2022Congo-Kinshasa imebarikiwa madini mengi. Tizama wachimba madini wadogo nchini DR-Congo jinsi wanavyoisaka dhahabu katika shimo refu lenye giza. Mwandishi wa DW Mitima Delachance aliambatana nao shimoni. #kurunzi Nakili kiunganishiMatangazo