1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Uhuru wa vyombo vya habariTanzania

Marufuku kuripoti ushuhuda wa waathiriwa wa ghasia Tanzania

03:31

This browser does not support the video element.

26 Januari 2026

Vyombo vya Habari nchini Tanzania vimepigwa marufuku kutangaza ushuhuda unaotolewa mbele ya tume inayochunguza ghasia za wakati wa uchaguzi Oktoba 2025. Hata hivyo uamuzi huo umepokewa kwa mtazamo tofauti na wadau wa masuala ya Habari na wa afya ya akili Tanzania.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW