Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amekamatwa na anatarajiwa kufikishwa mahakamani Dar es Salaam kwa mashtaka yasiyojulikana. DW imezungumza na Salim Mwalimu wa CHADEMA.
Picha: DW/M.Khelef
Matangazo
J2.07.02.2017 Interview on Tundu Lissu arrest - MP3-Stereo