1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tundu Lissu: Siwezi kusema ninao uhakika wa usalama wangu

03:24

This browser does not support the video element.

30 Januari 2023

Siku chache baada ya kurudi nchini mwake, Tundu Lissu ambaye ni makamu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania -CHADEMA, ameelezea utayari wa chama chake kuzungumza na Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu mchakato wa katiba mpya. Lissu pia amesema hawezi kuwa na uhakika na usalama wake kwa sababu waliomshambulia mwaka 2017 bado hawajakamatwa. Tazama mahojiano yake na DW. #Kurunzi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW