Tunisia wamefuzu kuingia nusu fainali ya michuano ya kuwania kombe la mataia ya Afrika baada ya kuinyuka Madagascar mabao 3-0. Hata hivyo mashabiki wa Madagascar wamesema hawajakata tamaa, kwani hii ni mara yao ya kwanza kushiriki na wamefurahishwa na hatua ambayo timu yao imepiga.