Twitter yatimiza miaka 10Elizabeth Shoo22.03.201622 Machi 2016Tangu ulipoanzishwa mtandao huo wa kijamii umepata watumiaji milioni 320 wanaoshirikishana habari na picha kila siku. Katika Sema Uvume, wasikilizaji wa DW wanazungumzia wanavyoutumia mtandao huu.Nakili kiunganishiPicha: picture-alliance/dpa/O. SpataMatangazo[No title]This browser does not support the audio element.