Hali ya usalama ni tete
10 Desemba 2015![Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu wakiwa kwenye mikutano yao visiwani Zanzibar.](https://static.dw.com/image/15984675_800.webp)
Matangazo
Mwandishi wetu aliye visiwani Zanzibar anasema vikosi vya ulinzi na usalama vimezingira maeneo yote ya Mahakama Kuu ya Vuga na hakuna aliyeruhusiwa kuingia ndani kusikiliza kinachoendelea. Kwa mengi zaidi sikiliza matangazo yetu ya mchana.
Mwandishi: Mohammed Khelef
Mhariri: Mohamed Abdul-Rahman