JamiiUasi uliofanywa na jamii ya Dahomey huko Cameroon01:48This browser does not support the video element.Jamii24.01.202524 Januari 2025Mwaka 1893 wanaume na wanawake wa Dahomey walifanya uasi mkubwa dhidi ya unanyanyasaji wa maafisa wa kikoloni wa Ujerumani nchini Cameroon, katika mojawapo ya vuguvugu kubwa ambalo Ujerumani haikuwa imejiandaa. Tizama simulizi hiyo.Nakili kiunganishiMatangazo