1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchafuzi wa hewa bado ni tatizo kubwa barani Ulaya

02:46

This browser does not support the video element.

Saleh Mwanamilongo
11 Septemba 2023

Ingawa Umoja wa Ulaya una baadhi ya sheria kali zaidi za ubora wa hewa duniani, viwango vya uchafuzi wa hewa bado viko juu. Mnamo 2022, asilimia 98 ya watu wake waliishi katika maeneo ambayo viwango vya hewa chafu vinazidi mapendekezo ya Shirika la Afya Ulimwenguni WHO. Ili kukabiliana na tatizo hilo, Bunge la Umoja wa Ulaya linataka kutekeleza sheria kali zaidi.

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW