1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

UCHAGUZI BENIN

24 Machi 2007

COTONOU:

Serikali ya Benin imeahirisha uchaguzi mkuu wa kesho hadi Machi 31.Hii inatokana na mabishano ndani ya Tume ya uchaguzi huko Benin.Inasemekana sasa kwamba hati za kupiga kura hazikuwa tayari kwa uchaguzi kesho.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW