1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi DRC 2023: Matokeo ya awali yasubiriwa

02:39

This browser does not support the video element.

Saleh Mwanamilongo
22 Desemba 2023

Wakongo wanaposubiri matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika Disemba 20 hadi 21, tume huru inayosimamia uchaguzi huo, imesema itaanza kutangaza matokeo hayo hatua kwa hatua. Saleh Mwanamilongo amezungumza na Didi Manara, mmoja wa manaibu wakuu wa tume hiyo kwenye vidio hii ya Kurunzi.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW