1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi Kenya uliingiliwa na wadukuzi?

20 Machi 2018

Kuna ripoti kwamba kampuni ya Uingereza ya utafiti wa data ya Cambridge Analytica ilitumia propaganda na mbinu nyingine chafu kushawishi maoni ya wapiga kura wa Kenya katika kampeni za chama cha Jubilee cha Kenyatta.

Uchaguzi Kenya
Picha: Reuters/S. Modola

MMT J3.20.03.2018 Interview on Cambridge Analytica stage-managed Jubilee - MP3-Stereo

This browser does not support the audio element.

Kampuni hiyo hivi karibuni pia ilishutumiwa kutumia data za watumiaji milioni 50 wa Facebook kinyume na sheria kuwalenga katika kampeni ya uchaguzi wa rais Donald Trump. DW imezungumza na Shitemi Khamadi ambaye ni meneja wa programu wa ushirikiano wa wanablogu wa Kenya na kwanza tumeuliza juu ya ukweli wa madai hayo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW