1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi mdogo wa jimbo la Tunduru,Tanzania

14 Machi 2007

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha CUF kimeitaka serikali kuhakikisha kwamba uchaguzi mdogo wa jimbo la Tunduru unafanyika kwa njia ya haki na huru kama alivyoahidi rais Jakaya Mrisho Kikwete katika kauli mbiu yake alipoingia madarakani kwamba kila kitu nchini humo kitafanyika kwa njia ya haki na uwazi.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Rais Jakaya Mrisho KikwetePicha: DW
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW