Uchaguzi nchini Rwanda
9 Agosti 2010
Matangazo
Mohamed Abdul-Rahman alizungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Tanzania, Profesa Mwesiga Baregu, na alimuuliza juu ya umuhimu wa uchaguzi huo kwa Rwanda na kanda hiyo kwa jumla, Profesa Baregu alikuwa na haya ya kueleza.