Kura zaanza kuhesabiwa Zanzibar25.10.201525 Oktoba 2015Kura zimeanza kuhesabiwa katika baadhi ya vituo huko Zanzibar, lakini kuna ripoti juu ya matukio ya watu kupigwa. Mwandishi na mchambuzi Salim Said Salim ameshuhudia tukio la aina hiyo. Kwa zaidi sikiliza hapa.Nakili kiunganishiPicha: Reuters/E. HermanMatangazo[No title]This browser does not support the audio element.