1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nani kuchukua uongozi wa Chadema uchaguzi wa 2025?

01:56

This browser does not support the video element.

21 Januari 2025

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kinafanya uchaguzi kumpata mwenyekiti wake ambaye atakiongoza chama hicho kwa miaka ijayo. Mchuano mkali upo kwa Freeman Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa sasa pamoja na Makamu wake Tundu Lissu.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW