1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi wa Rais waanza Urusi.

14 Machi 2004

MOSKO: Huko Mashariki kwa Urusi leo asubuhi mapema umeanza uchaguzi wa Rais. Watu zaidi ya miliyoni 109 wana haki ya kupiga kura. Kuna uhakika mkubwa kuwa atachaguliwa tena Rais mtawala Vladimir Putin kwa kuwa hakuna hata mmoja kati ya wagombea wa upinzani wenye nafasi ya kumkaribia. Ndiyo maana inasemekana hali halisi ya kisiasa itaweza kupigwa tu kutokana na kiwango cha wapiga kura wataoshiriki. Uchaguzi unahalalika tu ikiwa watashiriki si chini ya asili miya 50 ya wapiga kura. Kwa kuwa Urusi ina zoni kumi na moja za saa vituo vya mwisho vya uchaguzi vitafungwa saa moja za usiku.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW