Uchumi– Kipindi 2 – Matumizi mazuri ya fedha wakati wa likizo
8 Novemba 2010
Katika kisa hiki cha pili, mapacha Jane na John wameanzisha biashara yao ya kuuza karanga.John anaziuza kwa watu waliyopumzika ufukweni mwa bahari, Jane anajaribu bahati yake kutafuta wateja kwenye baa na migahawa.