Uchumi – Kipindi 4 – Ukweli kuhusiana na ugumu wa biashara duniani
8 Novemba 2010
Katika kipindi hiki cha nne, mapacha hao wanakabiliwa, na mavuno mabaya yaliyosababisha kupanda kwa bei ya mazao ya kilimo.Vyote viwili, kuyumba kwa biashara na mtihani wa mwisho vinawatia shaka Jane na John.