1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Udanganyifu katika uandikishaji wa wapiga kura nchini Kenya

16 Oktoba 2007

Wakati uchaguzi wa Kenya ukisubiriwa kabla ya mwisho wa mwaka huu, chama cha ODM kinachoongozwa na Raila Odinga ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho, kimesema kimegundua kadi kiasi ya 500 za uandikishwaji wapiga kura ambao si wakaazi wa eneo husika katika mkoa wa Pwani.

Mohamed Abdulrahman amezungumza na kiongozi wa ODM mbunge Najib Balala na kwanza alimuuliza ilikuaje hadi wakazigundua kadi hizo za kitambulisho cha kupiga kura.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW