Asili na mazingiraAfrikaKimbunga Chido chaua watu wengi Mayotte00:59This browser does not support the video element.Asili na mazingiraAfrikaSudi Mnette16.12.202416 Desemba 2024Ufaransa imepeleka meli na ndege za kijeshi kwa lengo la kusaidia kazi ya uokozi na pia vifaa katika kisiwa chake cha Bahari ya Hindi Mayotte, baada ya kukumba na Kimbunga Chido ambacho kimesababisha idadi kubwa ya watu kupoteza maisha.Nakili kiunganishiMatangazo