1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mitandao ya ukahaba na ulanguzi wa watu Nigeria

03:39

This browser does not support the video element.

27 Mei 2021

Inaweza kuonekana kama tungo ya kubuniwa kuhusu uhalifu, lakini kwa hakika mwanahabari wa Nigeria Tobore Ovuorie alifanya upekuzi kufichua kadhia ya ulanguzi wa wanadamu. Kisa chake kimetengenezwa kuwa filamu kwenye kampuni ya Netflix. Lakini masaibu aliyopitia yangali yanamtatiza.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW