1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUfilipino

Ufilipino na washirika waanza luteka ya pamoja ya kijeshi

2 Oktoba 2023

Wanajeshi kutoka Manila, Uingereza, Canada, Japan na Marekani wameanza hii leo Jumatatu luteka ya pamoja ya kijeshi ya wiki mbili katika bahari ya Ufilipino

Nyambizi ya Marekani kama inavyoonekana kwenye picha iliyopigwa Machi 13, 2023 huko Washington. Marekani imeanza liteka ya pamoja ya kijeshi na Ufilipino na washirika wengine ili kuonyesha nguvu yao ya kijeshi
Nyambizi ya Marekani kama inavyoonekana kwenye picha iliyopigwa Machi 13, 2023 huko Washington. Marekani imeanza liteka ya pamoja ya kijeshi na Ufilipino na washirika wengine ili kuonyesha nguvu yao ya kijeshiPicha: Zuma/IMAGO

Luteka hiyo iliyopewa jina la  "Sama Sama" iliyo na washiriki zaidi ya 1,800 inatokana na hatua ya China wiki iliyopita ya kuzuwia wavuvi wa Ufilipino kufika katika eneo la bahari linalozozaniwa zaidi barani Asia linalojulikana kama mwamba wa Scarborough Shoal, linalokaliwa na China katika bahari ya kusini mwa taifa hilo.

Jeshi la majini la Ufilipino limesema mwaka huu luteka ya pamoja inafanyika upande wa kusini katika kisiwa cha Luzon na itajumuisha ulinzi wa angani.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW