JamiiAfrikaUfugaji wa konokono Kampala, Uganda04:29This browser does not support the video element.JamiiAfrikaAngela Mdungu04.03.20214 Machi 2021Nchini Uganda, ufugaji wa konokono umegeuka baraka walizopata baadhi ya wakazi wa mtaa wa Kiwatule mjini Kampala kutokana na kipindi cha kufungiwa shughuli zao nyingine katika kudhibiti maambukizi ya COVID-19. Video na Emmanuel Lubega. Nakili kiunganishiMatangazo