Ugaidi uliutikisa mwaka 2014
6 Januari 2015![Kiongozi wa IS, Abu Bakr al-Baghdadi.](https://static.dw.com/image/18049180_800.webp)
Matangazo
Katika Maoni Mbele ya Meza ya Duara, Mohammed Khelef anajadiliana na wachambuzi wa siasa za kilimwengu - Ahmed Rajab (London), Abdilfattah Mussa (Tehran), Ayoub Rioba (Dar es Salaam) na Maggig Mjengwa (Iringa) - juu ya kile ambacho mwaka 2014 kiliizawadia dunia na matazamio ya mwaka 2015.
Kusikiliza makala nzima, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mhariri: Iddi Ssessanga