Uganda: Gulu ni shwari siku ya Uchaguzi
18 Februari 2011Matangazo
Uchaguzi wa mwaka huu katika eneo hilo la kaskazini unafanyika kwa mara ya kwanza bila ya kuwepo kundi hilo la LRA. Hivi punde nilizungumza na Mwangalizi wa uchaguzi katika eneo la Gulu, Khalid Mussa ambaye anaanza kuelezea jinsi uchaguzi unavyofanyika kwa amani katika eneo hilo.
Mahojiano: Grace Patricia Kabogo/Khalid Mussa
Mhariri: Othman Miraji