1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutana na Rubani mtoto wa miaka 10 Uganda

03:04

This browser does not support the video element.

13 Septemba 2023

Graham Shema sio mtoto wa kawaida. Akiwa na umri wa miaka 10, kijana huyu wa Uganda tayari ameendesha ndege halisi kama rubani mwenza. Kilichoanza utotoni kwa kuvutiwa na ndege za kuchezea kilimchochea kusomea urubani shuleni na hata kufanya atambuliwe na mmiliki wa magari ya Tesla Elon Musk.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW