1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda: Jenerali Sejusa kubaki rumande

Elizabeth Shoo9 Februari 2016

Mahakama kuu ya kijeshi Uganda imemnyima dhamana mpinzani huyo wa Rais Yoweri Museveni na ataendelea kubaki gerezani hadi tarehe 23 Februari wakati ambapo mashtaka dhidi yake yatakaposikilizwa tena.

Jenerali David Sejusa wa Uganda
Picha: picture-alliance/dpa

[No title]

This browser does not support the audio element.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW