1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda kupata askari walinzi wa mitaa 24,000

02:16

This browser does not support the video element.

26 Septemba 2018

Waganda wamejitokeza kwa wingi kusajiliwa katika jeshi la askari walinzi wa mitaa nchini Uganda ikiwa ni baada ya Rais Yoweri Kaguta Museveni kutoa agizo hilo hivi karibuni. Jeshi la akiba la wanajeshi 24,000  limebuniwa kwa nia ya kukabiliana na hali ya usalama inayoelezwa kuwa mbaya hasa maeneo ya mji mkuu Kampala.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW