1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda: Mahakama yatupilia mbali kesi dhidi ya vifo vya mama wajawazito

5 Juni 2012

Mahakama ya kikatiba imetupilia mbali kesi dhidi ya serikali ambayo iliwasilishwa bungeni na wanaharakati wa kutetea haki za wamama wajawazito.

Akina mama wakiwa mahakamani
Akina mama wakiwa mahakamaniPicha: DW

Wanaharakati walitaka serikali iwajibike kwa vifo kumi na sita vya wamama wajawazito wanaofariki kila siku wakijifungua.

Mwandishi wetu wa Kampala Leylah Ndinda alikuwa mahakamani na kututumia ripoti ifuatayo.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Leyla Ndinda

Mhariri: Othman Miraji

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW