JamiiAfrikaUganda: Matokeo ya kukatwa kwa ufadhili wa wakimbizi02:15This browser does not support the video element.JamiiAfrikaHawa Bihoga02.10.20232 Oktoba 2023Kukatwa kwa misaada ya wafadhili kumesababisha hali ngumu kwa wakimbizi na serikali nchini Uganda, shirika la mapango wa chakula la Umoja wa Mataifa unaonya kuwa endapo hatua za haraka hazitachukulia, huenda kukashuhudiwa janga la kibinadamu.Nakili kiunganishiMatangazo