1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda: Msichana bingwa wa kickboxing anayepambana na unyanyasaji wa kingono

02:44

This browser does not support the video element.

8 Juni 2020

Bingwa wa Kichboxing Patricia Apolot amewanyenyekeza wengi ulingoni. Lakini mwanamke huyu bingwa kutoka Uganda anasema ufanisi wake mara nyingi hudunishwa na ubaguzi, lakini amejitolea kupambana na unyanyasaji wa kingono katka spoti.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW