Uganda: Mswada dhidi ya picha za ngono watiwa saini
19 Februari 2014Matangazo
Hii ni kwa sababu rais Yoweri Museveni ametia saini mswada dhidi ya picha za ngono ambao unapinga mavazi yasiyo ya heshima haswa yanayovaliwa na wanamziki na picha za watu wakiwa uchi. Mwandishi wetu wa Kampala Leylah Ndinda na taarifa zaidi. Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Leylah Ndinda
Mhariri: Mohammed Khelef