JamiiUganda na Kenya zazindua kituo cha pamoja cha huduma za mipakani03:17This browser does not support the video element.JamiiLilian Mtono26.02.201826 Februari 2018Uganda na Kenya kwa pamoja wamefungua kituo rasmi cha huduma ya pamoja mipakani cha Busia. Kituo hicho kilichogharimu dola milioni 13, kinalenga kuimarisha miongoni mwa mambo mengine mahusiano baina ya mataifa hayo. Nakili kiunganishiMatangazo