SiasaUganda: shule ya ukulima wa mapasheni x03:34This browser does not support the video element.Siasa22.12.201622 Desemba 2016Ukulima ni kazi inayofanywa zaidi na wanawake nchini Uganda. Mradi wa KadAfrica umeamua kutoa mafunzo ya miezi sita ya kumuwezesha mwanamke kuwa mkulima wa tunda la pasheni. Eric Kaduru na mke wake Rebecca ni waanzilishi wa mradi huo.Nakili kiunganishiMatangazo