1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ugawaji wa taulo za kike kwa wanafunzi wa Mtwara

02:55

This browser does not support the video element.

16 Julai 2021

Watoto wa kike wanaotokea kwenye familia dunimara hukosa kuhudhuria masomo wanapokuwa katika siku za hedhi kutokona na kukosa vifaa salama vya kujihifadhia kama taulo au pedi kama wengi wanavyoita. Kwa wastani wasichana wanaripotiwa kukosa kuhudhuria masomo kuanzia siku 3 hadi tano kwa mwezi, yani kwa mwaka ni siku 36 hadi 60 hali inayochangia kutofanya vizuri katika masomo yao.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW