Uhaba wa pedi wafanya wasichana wengi wakose masomo Kenya
Caro Robi27 Januari 2016
Asilimia 61 ya wanafunzi wa kike nchini Kenya hukosa masomo mara kwa mara kwa sababu hawana sodo ama pedi kwa ajili ya kujisitiri wanapopata hedhi. DW inaangazia makundi yanayosaidia wasichana hao.