SiasaUharibifu wa mazingira ni mkubwa mijini01:13This browser does not support the video element.SiasaJacob Safari23.04.201923 Aprili 2019Mbuga ya wanyama ya Nairobi ndiyo mbuga ya pekee duniani iliyo katikati ya jiji. Wanamazingira wanalalamikia uharibifu wa mazingira uliofanywa katika mbuga hiyo kipindi reli ya kisasa kutoka Mombasa kuelekea Nairobi ilipokuwa ikijengwa. Nakili kiunganishiMatangazo