1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhusiano wa Malkia Elizabeth II na Afrika

01:44

This browser does not support the video element.

9 Septemba 2022

Malkia Elizabeth II alikuwa na uhusiano maalum na Afrika. Alifikisha umri wa miaka 21 katika ziara ya Afrika Kusini na alikuwa nchini Kenya wakati babake alipofariki alichukua kiti cha ufalme. Kama mfalme wa Uingereza, alifanya ziara nyingi Afrika.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW