1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani: CSU yapoteza uongozi wa Bavaria

01:48

This browser does not support the video element.

Daniel Gakuba
15 Oktoba 2018

Chama cha Christian Social Union, CSU maarufu katika jimbo tajiri la Bavaria Kusini-Mashariki mwa Ujerumani, kimeangukia pabaya katika uchaguzi wa jimbo hilo uliofanyika Jumapili. Kwa kuambulia asilimia 37.2, CSU ambacho ni mshirika muhimu wa Kansela Angela Merkel, sasa kitalazimika kupata mshirika katika uongozi wa jimbo ambao kimeushikilia peke yake kwa muda mrefu. Papo kwa Papo, 15.10.2018.

Markus Soeder, Waziri Mkuu wa BavariaPicha: Reuters/M. Dalder
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW