1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani kukamilisha chanjo kwa makundi maalumu ifikapo Juni

01:21

This browser does not support the video element.

27 Aprili 2021

Serikali ya Ujerumani imeahidi kukamilisha hatua ya kuwapa chanjo makundi maalumu ifikapo Juni.Kansela wa Ujerumani Angela Merkel alisema hatua hiyo haimaanishi kwamba kila mtu atakuwa amechanjwa, lakini kila mtu anaweza kuomba fursa ya kuchanjwa. Na wataweza kuipata kwa zingatio la usambazaji wake.