1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani Kupeleka wanajeshi wake Niger

01:55

This browser does not support the video element.

Hawa Bihoga
12 Mei 2022

Serikali ya Ujerumani imeunga mkono mabadiliko ya vikosi vyake viwili vilivyopo Afrika magharibi, kuwahamisha mamia ya wanajeshi kutoka Mali na kuelekea katika taifa jirani la Niger, hatua hii imebadili msimamo wa kimajukumu wa taifa hilo kutoka Ulaya kupeleka Umoja wa Mataifa.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW