JamiiUjerumaniUjerumani kupima corona wasafiri wote01:04This browser does not support the video element.JamiiUjerumani05.08.20215 Agosti 2021Wizara ya afya ya Ujerumani kuanzisha vipimo vya corona kwa wasafiri wote bila kujali wanatoka wapi na vyombo vya usafiri wanavyotumia. Hatua hiyo ni katika juhudi za kupambana na kirusi cha corona cha Delta.Nakili kiunganishiMatangazo