Ujerumani kutoa msaada kwa sekta ya afya TanzaniaElizabeth Shoo31.03.201631 Machi 2016Waziri wa ushirikiano kimaendeleo Ujerumani ameahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania kuzalisha wataalamu wa afya hasa katika kitengo cha ukunga na uuguzi ili kukabiliana na upungufu wa wataalamu hao.Nakili kiunganishiPicha: picture-alliance/dpa/E. ElsnerMatangazo[No title]This browser does not support the audio element.