Ujerumani inajulikana kwa umaarufu wake wa mchezo wa kandanda duniani. Najua unavijua viwanja vingi vya timu kubwa duniani kama Allianz Arena wa Bayern Munich au Camp Nou wa Barcelona. Lakini unaujua kwa kiasi gani uwanja wa Signal Iduna Park nyumbani kwa Borussia Dortmund? Unaujua umaarufu wake? Ungana na Lilian Mtono katika video hii kuelekea mechi ambayo Dortmund atamkaribisha Bayer Leverkusen.