JamiiKenyaUjerumani yaanza kuwafunza wafanyakazi kutoka Kenya01:43This browser does not support the video element.JamiiKenya10.10.202410 Oktoba 2024Makubaliano ya ajira kati ya Kenya na Ujerumani yameanza kutekelezwa. Karibu wataalamu 500 wataondoka miezi michache ijayo kwa ajili ya kufanya kazi Ujerumani, ingawa bado kuna wasiwasi kuhusiana na Kenya kuondokewa na wasomi. #KurunziUjerumaniNakili kiunganishiMatangazo