1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani yaanza udhibiti mpakani na Uholanzi

01:59

This browser does not support the video element.

15 Aprili 2021

Maafisa wa Idara ya Polisi ya Serikali Kuu ya Shirikisho la Ujerumani wameanza msako mkubwa kwenye barabara kuu inayounganisha mipaka ya Ujerumani na Uholanzi. Lengo la operesheni hii ni kuwabaini wahalifu, kwa mujibu wa msemaji wa polisi wa Bad Bentheim, lakini mbali ya hilo wanaangalia hasa watu wanaoingia bila ya kuwa na vyeti vya matokeo ya vipimo vya corona.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW