Ujerumani imeripoti idadi ya juu zaidi ya vifo ya watu 952 ndani ya saa 24 zilizopita kutokana na virusi vya corona. Ripoti hizi zinaarifiwa wakati imeanza kutekeleza masharti ya kuzuia kusambaa kwa virusi vya corona. Video hii itakuonyesha mengi zaidi. #Kurunzi